A9 awataka mashabiki wake wakae tayari kwaujio wa ngoma yake mpyaa.
msanii wa bongo flaver mkoani Tabora A9 hit maker wa ngoma ya '' kimoyo moyo '' na '' Ndio maana '' awataka mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wa ngoma yake mpya itakayo julikana kwa jina la Sweet Girl ambayo imefanyikia VINNY MUSIC LAB chini ya Producer Ephra system.
Ngoma itaachiwa Trh 29/12/2017 kama Official release
get ready........................................................
#http://nicomastertz.blogspot.com/
contact us 0715342817
Email us nicholausdamson@gmail.com.
No comments: